Recent content by KINGO PROPERTY LIMITED

  1. KINGO PROPERTY LIMITED

    Mradi mpya wa viwanja Kigamboni

    Kwa Ukweli Kabisa Swala La Hati Sio Tatizo Ila Kuna Tabia Ya Watanzania Kupenda Kuongopewa Hati Ni Mali Ya Serikali Ukisikia Mtu Anakuambia Atakupa Na Hati Moja Kwa Moja Maana Yake Hicho Kiwanja Tayari Kina Mmiliki Hivyo Utapata Hati Lakini Utalazimika Kufanya Transfer Ili Hati Iwe Na Jina Lako...
  2. KINGO PROPERTY LIMITED

    Mradi mpya wa viwanja Kigamboni

    [emoji419] MZIGO MPYA UMEINGIA SOKONI[emoji419] KWA MARA NYINGINE TENA TUNAWALETEA MIRADI MIPYA YA VIWANJA VILIVYOPIMWA KWA AJILI YA MAKAZI NA BIASHARA. [emoji419][emoji419]MIRADI MIPYA IPO MWEMBE MDOGO UKOONI MWASONGA KIDETE BEACH PLOT BEI YA VIWANJA INAANZIA Tsh,8,000/= @ SQM KWA MITA MOJA...
  3. KINGO PROPERTY LIMITED

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    Ndio Unatumika Boss
  4. KINGO PROPERTY LIMITED

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    Kwa Kutanguliza 50% Unaweza Kulipia Kwa Awamu Kwa Beach Plot Za Bamba Beach
  5. KINGO PROPERTY LIMITED

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    Hakuna Tabu Boss We Hifadhi Hizo Namba Najua Utapata Kiwanja Bora Kabisa
  6. KINGO PROPERTY LIMITED

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    Chanika SQM @7000 Na Ukubwa Kuanzia SQM 420 na Kuendelea
  7. KINGO PROPERTY LIMITED

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    Boss Wangu Hiyo 35,000 Tumezingatia Mambo Mengi Sana Lakini Kabla Sijakwambia Punguzo Au Vingine you Njoo Utembelee Mradi Kwanza Mazingira Yatesema Karibu Kiongozi
  8. KINGO PROPERTY LIMITED

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    Kibugumo KIDETE Beach Plot Sqm@35000/= GEZA Sqm@20000/= Mwongozo Sqm 20000/= Bamba beach Plot Sqm @45000/= Dege Sqm@20000/=
  9. KINGO PROPERTY LIMITED

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    VIWANJA BORA KWA AJILI YA MAKAZI MWASONGA, MWEMBE MDOGO, KIBUGUMO, MWONGOZO, BAMBA BEACH, GEZA, DEGE Hiyo Yote ni KIGAMBONI DSM. Pia MVUTI Njia ya CHANIKA Hiyo Ni ILALA DSM. KONGOWE Km1Nyuma Ya Shule Ya Msingi Mzinga Hii ni TEMEKE. Ofisi Zetu Zinapatikana Mjimwema Garden Kigamboni Dares salaam...
  10. KINGO PROPERTY LIMITED

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    Vipo Vya Ukubwa Tofauti Mkuu Ukiwa Tayari Njoo tu Boss
  11. KINGO PROPERTY LIMITED

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    Ni Mita 12/17 Mkuu
  12. KINGO PROPERTY LIMITED

    Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

    Viwanja Vyetu Vinapatikana Vianzi Ni Km5 Kutoka Vikindu Na Vimepimwa Kuanzia Sqm 204 Na Kuendelea Pia Tuna Viwanja Maeneo Mengine Tofauti Na Bei Tofauti. MWASONGA, MWEMBE MDOGO, KIBUGUMO, MWONGOZO, BAMBA BEACH, GEZA, DEGE Hiyo Yote ni KIGAMBONI DSM. Pia MVUTI Njia ya CHANIKA Hiyo Ni ILALA DSM...
Back
Top Bottom