Recent content by King War

  1. King War

    Natafuta ajira yoyote ya halali kwa Dar, Elimu yangu kidato cha sita

    Mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza kidato cha sita 2016, Natafuta kazi yoyote ya halali niweze kujikimu kimaisha. Ninaweza kutumia computer vizuri na pia ni mpishi mzuri tu. Usafi, ulinzi, kuuza duka au hata msaidizi ofisini ninaweza kufanya kazi kwa bidii na uaminifu wa hali ya juu...
Back
Top Bottom