Jamani mi tangu nimezaliwa nimekuwa nikiambiwa serikari haina dini. lakini niwashauli kuwa kila kitu kina mipaka yake sioni sababu ya kumzuia Mchungaji wa loliondo kutibu wagonjwa. kikubwa 2 ni kwamba maandiko yanasema IMANI YAKO NDO ITAYOKUPONYA. hivyo tusipinge. Kuzuia kitu hicho ni kukataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.