Mfumo wetu wa elimu ndo mbovu,mfano watu wengi wanasoma dgree sio zao kwasababu tu ya kupata mkopo so automatically unaua vipaji vingi vya watu ambao walikuwa na uwezo kwenye sekta flan lkn kwasabab kozi anayotaka kusomea cyo kipaumbele cha serikal inambidi tu abadil mwelekeo,vilevile dunia...
hivi tution fee(NIT) kwa kozi za engineering eg mechancal n automobile ni sh ngapi? maana kwenye TCU guidebook wameandika 1.5 million lakini kwenye website ya chuo(fee structure) haifki 1.5 mln ila ukijumlisha na direct cost ndo inafika sh 1.5M.So msaada kwa anayefahamu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.