Recent content by King Ngosha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo

    pay 30 thousands to m pesa to heslb then open OLAS or for more information call 0652755770
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    Am a student taking BSc LMV with no loan am in de first year so sometime life become hard kabisa and in real sina msaada sana maana ma parents wapo vijijini na hawana uwezo kabisa ila kuna mtu ambaye analipa ada kwa ajili yangu so wanajamii forum nifanye nini? naomba msaada wenu despite i use...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nina SSB (HGK), yaani nina principle moja. Je, napata chuo gani kozi gani kwa point hizo?

    ok kwa kweli hapo msaada wangu mimi ni kwamba itabidi tu usome diploma maana ili uende kuchukua degree lazima uwe nazo mbili
  4. K

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu

    Kwa kweli nipo na maswali mengi sana kuhusu elimu yetu ya Tanzania nilikua nauliza nini kifanyike Pia maoni yangu ni kwamba hata D basi nazo ziwe principal kwa o level
Back
Top Bottom