Recent content by KING MS7

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushari wa ujenzi hapa kijijini kwetu

    Mkuu msingi natarajia kuweka mawe nishauri mkuu uwe waurefu gani? Pia ninampango wakuchimba mitaro ya maji, naskia Pia kuna white cement hii gharama zake ipoje na je inaumuhimu wakuweka ktk ujenzi wng yani itanisaidia kuboresha na uimara wa jengo?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushari wa ujenzi hapa kijijini kwetu

    Dah jamaangu nawe unachangamoto km mm yani unauliza maswali yananihusu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushari wa ujenzi hapa kijijini kwetu

    Asante kwa ushauri ila km ipi unadthani itakuwa rfk kwamazingira haya
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushari wa ujenzi hapa kijijini kwetu

    Asante kwa ushauri ila km ipi unadthani itakuwa rfk kwamazingira haya
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushari wa ujenzi hapa kijijini kwetu

    Habari Wana jamvi, Kwanza niwashukuru JF kwa kuanzisha jukwaa muhimu kama hili, mimi jamani kila nikiangalia post za humu naona zinazungumzwa nyumba ninazo ziona mijini na mara chache huku vijijini ikiwa mtu amestaafu[emoji23][emoji23]. Sasa mimi nipo Morogoro Ngerengere nataka kujenga kwa...
Back
Top Bottom