Habari wanajf . Naomba kupewa maelezo kuhusu hoja tajwa hapo juu Dada yangu na marafiki zake wa2 jumla wapangaji wa3 kati ya 5 wa nyumba yao wamepewa notes wahame kisa tu mpangishaji wa nyumba hiyo ambaye ni middlemen na si mmiliki wa nyumba hiyo huwa anatabia za kuficha malipo ya bili za...
Nenda wilaya ya tunduru ndan utaona Tanzania inaukubwa gani na baadhi yamahitaji yapo kwajili ya wahitaji tu no extra unakuta duka lina koloboi ya mafuta ya kula ya taa kiberiti unga ndala chumvi sukari magadi amila ukitaka nido na vocha fata mwenyew mjin mkuu Tanzania kubwa sana na kuna sehem...
Uwezekano ni mkubwa sana maana siku ya 11 n siku ya ovulation day yani yai ndy ndy linatoka kweny ovari co uwezekano n mkubwa tena uko mbioni kupata mtoto wa kike siku safi zinaishia siku ya 8
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.