Kwa mantiki hiyo ulivyoelezea suala la muzimu na Malaika ni dhaili kuwa wewe ndo hujui kutofautisha ivyo vitu viwili maana mzimu hauji kama malaika na malaika haji kama mzimu
Kwanini atupe uhuru wa kuchagua lakini tukiutumia uhuru huo kumchagua shetani anadai atatuchoma moto kwasababu hatukumchagua yeye,kwamba atatuchoma sisi na tuliyemchagua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.