Recent content by kimweri demba

  1. K

    Nyumba kama hii inaweza kuuzwa bei gani?

    Kweli kiwanja ni akuna maana iko kweny kamlima flani hivi ila barabarani
  2. K

    Nyumba kama hii inaweza kuuzwa bei gani?

    Nahitaji kujua tathmini ya kuuza nyumba hii. Ina vyumba 2 na sebule pamoja na jiko, master bedroom ni self, chini Kuna tiles na juu Kuna gypsum board pia imepigwa rangi za kisasa ndani na nje na dirisha zote ni aluminum. Msaada tafadhali.
  3. K

    Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

    Yap inawezkana pesa ikiwa chini ukanunua vitu kwa wakati
Back
Top Bottom