Recent content by kimwasi

  1. K

    Msaada kuhusu Honey King pale Kibaha

    kwa yeyote mwny kujua hapo anisaidie
  2. K

    Msaada kuhusu Honey King pale Kibaha

    habarini za majukumu,samahani ningeomba kujuzwa kama honey king wananunua asali kwa wauzaji wadogo na kama ndio wananunua kwa bei gani?na kama kuna mtu mwenye mawasiliano yao anisaidie maana kwenye website yao hawajaweka.natanguliza shukrani
  3. K

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    na unaposema mnanunua 1kg=7000 that means mnapima na je kama muuzaji kaleta kwny ndoo ya 20 lita kwa uzoefu wako hiyo itakuwa na kg.ngapi.pili kama mimi nina asali nimeshaivuna tayari mnaweza kununua asali yangu pia?asante
  4. K

    Laptop inauzwa

    just jitahidi kuongeza hiyo 50 tufanye biashara
  5. K

    Dell laptop inauzwa

    Final price ni sh.laki nne aliye serious anicheki kwa no hyo au anipm
  6. K

    Laptop inauzwa

    Final price ni laki nne kwa alie serious anicheki kwa 0686 801576 au anipm
  7. K

    Dell laptop inauzwa

    Haina tatzo zaidi ya speaker kutokupiga mpk utumie earphone! Serious buyer anaweza kunicheki kupitia hiyo no hapo juu, bei inaweza kupungua kidogo
  8. K

    Dell laptop inauzwa

    Aina:Dell laptop HDD:500GB Ram:4GB Processor:2.3GHz Wifi and bluetooth connectivity 3USB Port Betry life:one hour Price:480,000/= Inapatikana Dar es salaam Mikocheni Kwa mawasiliano:0686-801576 Karibuni
  9. K

    Msaada: Kwa anayefahamu soko la asali

    una maanisha kusafirisha nje ya nchi ama?kama ni nje ya nchi yes bt uwe unapeleka kwa madhumuni ya biashara na mzigo uwe mkubwa kama unapeleka kama one litre kama zawadi no need ya kibali
  10. K

    Msaada: Kwa anayefahamu soko la asali

    kwa dar napatikana mikocheni A
  11. K

    Laptop inauzwa

    betry yake bado nzima sema ukaaji wake unategemea na matumizi yako
  12. K

    Laptop inauzwa

    picha umeziona mkuu tayar nimeshatuma
  13. K

    Laptop inauzwa

    picha hizo hapo wakuu
  14. K

    Msaada: Kwa anayefahamu soko la asali

    kwa dar napatikana mikocheni A
  15. K

    Laptop inauzwa

    sijakuelewa umesema watoa "hii pesa M0.3" ndo kiasi gani?picha natuma muda c mrefu
Back
Top Bottom