Recent content by kimosura

  1. K

    Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

    Tunahitaji hizo pesa kwa maendeleo yetu. Kwa nini ziwekwe nje.
  2. K

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Inachukua muda gani kuhesabu kura pungufu ya hamsini!!!!!! Kulikoni??????
  3. K

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Je!! Ni kweli hawa jamaa (ccm) hawaoni kwamba serikali mbili zimeshindwa kuhimili muungano?? Wanataka muungano uvunjike ili iweje!? Dawa inayoweza kuponya muungano ni serikali TATU. Kweli sikio la kufa ......
  4. K

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ya leo yanatosha. Wazee ("wanaongoja kufa") na vijana wao wameeleza yote kwa marefu na mapana. CCM ikubali kujadili Rasimu la sivyo mchakato uairishwe, yafanyike marekebesho ya kufanya uchaguzi huru na wa haki. Halafu mchakato urudiwe baadaye.
  5. K

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nashangaa. Ni kweli wote wanaozungumza na kuandika, hawaoni kwamba tatizo ni kundi la Tanzania Kwanza (CCM) na sio UKAWA. CCM wakikubali kujadili Rasimu ya Tume, na kukubali ukomo wa madaraka ya Bunge la Katiba, UKAWA watarudi bungeni na mchakato utaendelea. TATIZO NI CCM SIO UKAWA.
  6. K

    Mwigulu awabembeleza Ukawa kurudi bungeni

    Tatizo ni kundi la Tanzania Kwanza na sio Ukawa. Wakubali tu kujadili Rasimu. Waache longlongo na kuwachanganya Wananchi. Uelewa mdogo wa wananchi wengi usiwe mtaji wa kuvuruga mchakato wa katiba mpya.
  7. K

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Je sasa tuna sirikali ngapi? 1) Kuna mawziri wa sirikali ya Zanzibar. 2) Kuna mawaziri wa sirikali ya muungano. 3) Kuna mawaziri wasio muungano. Hawa ni mawaziri wa nchi gani. Ni wa Tanzania bara, ama ni wa Tanganyika. Kwa vyovyote ni mawaziri wa sirikali ya tatu. TUNAZO SIRIKALI TATU. Tukiamua...
  8. K

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Je serikali tatu ni ghali kuliko hizi mbili tulizonazo hivi sasa? 1) Sasa mawaziri wa serikali ya Muungano ambayo inajuisha (wa Tanganyika)mawaziri waasio wamuungano.. ni Takriban 60. 2)Mawaziri serikali ya muungano (Shirikisho) watakuwa 10 na wale serikali ya Tanganyika 15. Jumla 25 Je? 60...
Back
Top Bottom