Recent content by KIMOMWEMOTORS

  1. KIMOMWEMOTORS

    TAHADHARI: Iwapo una mpango wa kujiagizia gari

    TAHADHARI TAHADHARI Punguza usumbufu kwa kutojiagizia gari mwenyewe Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari Mada hii fupi inakuja baada ya kuona baadhi ya ndugu zetu waliojiagizia wenyewe au kupitia watu wao wa karibu wenye uzoefu na matokeo yake gari zao zikachelewa mpaka miezi 6...
  2. KIMOMWEMOTORS

    ELIMIKA: TRA wanaangalia Mwaka au Bei au Model?

    TRA WANAANGALIA BEI YA GARI AU NI MWAKA NA MODEL TU? Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari Swali hilo muhimu liliulizwa na mmoja wa wadau wetu na majibu yake ni kama ifuatavyo. Kwa ufupi ni kwamba Ushuru wa gari yako utaamuliwa na vitu vyote vitatu yaani Bei ya gari, mwaka na model...
  3. KIMOMWEMOTORS

    Ijue BMW X1 Kwa Ufupi

    BMW X1- Kwa ufupi Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari Utangulizi- Iliingia sokoni kwa mara ya kwanza 2010 ikichukuliwa kama mdogo wa BMW X3 iliyotangulia sokoni tangu 2004. Injini+ Mafuta- Ina injini aina 2 tofauti zenye Cc 2000 zinazokadiriwa kwenda km 10-11/L kila moja. injini bora...
  4. KIMOMWEMOTORS

    Toyota Ipsum au Wish? Tumeweka maoni yetu

    VVti, ni ufupisho wa teknolojia ya Toyota inayowezesha gari zake kua fanisi zaidi kwenye mafuta na upunguza mungurumo wa gari...injini inakua kubwa ila inatumia mafuta kidogo, mfano 2AZ ya Kluger ina Vvti inatumia chini kidogo wakati Alphard Haina Vvti hivyo kutumia juu...Pia wana teknolojia...
  5. KIMOMWEMOTORS

    PICHA: Ijue BMW 7 Series (Maelezo Mafupi)

    IJUE BMW 7 SERIES- Kwa ufupi Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari UTANGULIZI Ni moja ya gari za starehe iliyoboreshwa kwenye mambo mengu na iliingia sokoni kwa mara ya kwanza 1977. Leo tutaongelea generation ya 4 iliyoingia sokoni kuanzia 2001 mpaka 2008 inayoshindanishwa na Benz S...
  6. KIMOMWEMOTORS

    Toyota Ipsum au Wish? Tumeweka maoni yetu

    TOYOTA WISH AU IPSUM?- Kama alivyouliza mdau kwenye group Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari Ipsum za zamani zimeadimika, hivyo ntaongelea ile mpya kuanzia miaka ya 2001. Toyota Ipsum inakuja na injini kubwa iitwayo 2AZ (Cc2400) yenye Vvti ambayo pia inapatikana kwenye Harrier Old na...
  7. KIMOMWEMOTORS

    AGIZA-Mazda Tribute kwa 13.9m

    AGIZA- MAZDA TRIBUTE pichani kwa 13.9m Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari Cc 2000 (12km/L), Km 52,000...Tulivu safarini na vifaa vinapatikana na kudum Gharama zote 13,950,000. Awali lipa 7,500,000. Piga 0746 267740 au fika ofisi za Mbeya au Dar
  8. KIMOMWEMOTORS

    AGIZA VW TOURAGE- Pichani kwa 25.5m

    usiogope boss, maisha ndio haya haya...imetengenezwa kwa ajili yangu na yako
  9. KIMOMWEMOTORS

    AGIZA VW TOURAGE- Pichani kwa 25.5m

    nilisahau kuupload boss. kwa sasa ipo hapo
  10. KIMOMWEMOTORS

    AGIZA VW TOURAGE- Pichani kwa 25.5m

    AGIZA- VOLKSWAGEN TOURAGE KWA 25.5m Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari Cc 3200 (Km 7.5/L), Km 82,000. Gharama zote 25,500,000. Awali lipa 13,500,000. Tembelea ofisi zetu Dar au Mbeya au Piga 0746 267740
  11. KIMOMWEMOTORS

    Car4Sale PDF: Jumla ya Gharama za Kuagiza Baadhi ya Magari kwa Mwaka 2021

    hapo tulijikita zaidi kwa models zinazoagizwa zaidi na Watanzania wengi mfano IST old tunamaanisha ya mwaka 2002 mpaka 2005, BMW X3 twamaanisha ya 2003 mpaka 2007, Volvo XC 90 twamaanisha ya 2003 mpaka 2007. Tukisema Passo twamaanisha ya 2004 mpaka 2007 n.k
  12. KIMOMWEMOTORS

    Car4Sale PDF: Jumla ya Gharama za Kuagiza Baadhi ya Magari kwa Mwaka 2021

    kila la kheri boss. sisi sio mawakala wa BF pekee, tunashirikia na kampuni zaidi ya 12 zenye bei nafuu na magari yenye hali nzuri zaidi...tunachopata ni discount ambayo hii hua kama gharama za ofisi kwa sisi kubeba dhamana ya pesa yako. hesabu zote zafanyika wazi
  13. KIMOMWEMOTORS

    Car4Sale PDF: Jumla ya Gharama za Kuagiza Baadhi ya Magari kwa Mwaka 2021

    Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.
Back
Top Bottom