Recent content by Kimeo2020

  1. K

    Ndege za kivita za USA zaruka karibu na anga la Korea Kaskazini Mara 4, Kim asalimu amri ataka mazungumzo

    Mkuu sijafanikiwa kuyaona hayo maneno ktk page uliyosema umenukuu toka BBC
  2. K

    Ushauri wa Kuielewa hii Sienta

    nashukuru mkuu kwa ushauri
  3. K

    Ushauri wa Kuielewa hii Sienta

    shukran
  4. K

    Ushauri wa Kuielewa hii Sienta

    Toyota Sienta # D Year, 2004 Engine, 1400cc Milage, 100,000 km Kuna jamaa anataka kuniuzia kwa 8.0 mil. Naombeni uchambuzi wenu ktk uimara wa gari hii, unywaji wa mafuta, safari ndefu mfano Dar-Dom kama inahimili. Je bei ni reasonable?
  5. K

    Kim aijibu hotuba ya Trump, NK kufanya jaribio la bomb ktk Pacific ocean

    Karibuni Timu Trump na Timu Kiduku..... Kiongozi wa Korea Kaskazini amwita Rais Donald Trump "mbwa mwenye hofu" na "gangster anayependa kucheza na moto" katika taarifa rasmi iliyotolewa jana Alhamisi (21/09/2017). Kim Jong Un aliijibu hotuba ya U.N. ya Trump katika hati iliyoandikwa kwa maneno...
  6. K

    Nauza kiwanja Kibaha

    chukua mil 4
Back
Top Bottom