Recent content by Kimbesa11

  1. Kimbesa11

    Wachawi wa miaka ya 90 waliokuwa wanaloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati kijijini watoto wao ndo wanaendeleza chuki kwa viongozi sasa

    Ukiwa wakala wa beberu lazima utamchukia kwasababu Dr. Samia amewanyoosha mabeberu. After all Wana CCM Wapo zaidi ya mil. 40
  2. Kimbesa11

    Wachawi wa miaka ya 90 waliokuwa wanaloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati kijijini watoto wao ndo wanaendeleza chuki kwa viongozi sasa

    Kwani Kuna mtu kakulazimisha umpende mtu, shida ni kwamba miaka yote mtakuwa mnachukia viongozi mnapata faida Gani? Kama syo upumbavu tu
  3. Kimbesa11

    Wachawi wa miaka ya 90 waliokuwa wanaloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati kijijini watoto wao ndo wanaendeleza chuki kwa viongozi sasa

    Kwahyo kumchukia kwako kunazuia nini kisiendelee kuweni na akili basi. Aliyepewa kapewa hata ufanyaje unajisumbua tu
  4. Kimbesa11

    Wachawi wa miaka ya 90 waliokuwa wanaloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati kijijini watoto wao ndo wanaendeleza chuki kwa viongozi sasa

    Mh. Rais ashapambwa tayari sina uwezo wa kumpamba. Shida ni kuwa na chuki ambazo haziwezi badilisha kitu ...akija Rais mwngne naye utamchukia tena akija mwngne utamchukia huoni huo ni UTAHIRA
  5. Kimbesa11

    Watanzania hawataki maridhiano na viongozi, wanataka viongozi waliowaridhia

    Watanzania wa wapi ambao hawataki maridhiano be specific. Kuna Wana CCM zaidi ya mil. 40 nchi hii unasemea watanzania wa wapi. Mkiambia hamna akili mnaanza kutoa mapovu.
  6. Kimbesa11

    Wachawi wa miaka ya 90 waliokuwa wanaloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati kijijini watoto wao ndo wanaendeleza chuki kwa viongozi sasa

    Hakuna haja ya kumchukia mtu aliyefanikiwa, yani Leo hii nianze tu kuchukia eti kwanini Fulani ni waziri huo ni upumbavu wa akili
Back
Top Bottom