Recent content by kimaus

  1. kimaus

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Halmashauri ya Wialaya ya Temeke, ofisi ya mapato Chamazi, inanyanyasa wafanyabiashara wadogo. Wanakusanya Service levy kwa cash badala ya kutoa control number kwa kisingizio cha mtandao hakuna. Pili wanakamata wafanyabiashara kinyama bila hata kuwaruhusu wafunge biashara zao, hii haikubaliki...
  2. kimaus

    Ufanyaji wa biashara holela

    Tuna changamoto sana nchi hii. Ukustaajabu ya Gongolamboto utayaona ya mbagala!
  3. kimaus

    Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda

    Hakuna hata abiria mmoja aliyekuwa kwwnye tukio aje aeleze ukweli wa tukio na kwa nini hawakuchukua hatua?
  4. kimaus

    Tigo wanashirikiana na matapeli kutapeli mawakala wao?

    Mi nitaachana na tigo pesa. Sijui mamlaka hazioni hii loophole ya wizi inayofanywa na tigo? Muamala uliotolewa kwa wakala usirudishwe mpaka wakala apigiwe aitwe akatoe scenario ya huo muamala. Sasa matapeli wanaonekana kuwa na upper hand kwa kusaidiwa na Tigo
  5. kimaus

    tiGO Pesa, Airtel Money na M-PESA mnatufilisi mawakala

    Mteja anatoa pesa, then anaizuia, alafu wakala hapigiwi simu kuulizwa, anarudishiwa pesa, huu maana yake ni wizi ambao tigo nao wanahusika.
  6. kimaus

    tiGO Pesa, Airtel Money na M-PESA mnatufilisi mawakala

    Mi yamenikuta jana. 120k karudishiwa mtu aliyekuja kutoa kihalali kwangu. Tigo wanaajiri vijana wezi, wanatengeneza syndicate ya kuibia mawakala mtaani. Hii biashara nitaachana nayo, kama wanaopaswa kusaidia mawakala ndio wanakuwa accomplice wa wizi.
  7. kimaus

    Tigo wanashirikiana na matapeli kutapeli mawakala wao?

    Nimeongea na tigo huduma kwa wateja eti wanasema "ulichukuq kitambulisho cha aliyetoa pesa" wtf!!! Hivi kweli mtu amekuja na line yake na namba za siri zake unasema mpaka atoe kitambulisho? Hata kama ni utaratibu kiukweli hayo sijawahi ona mahali Tanzania hii mtua huduma za mtandao anadai...
  8. kimaus

    Tigo wanashirikiana na matapeli kutapeli mawakala wao?

    Hii pesa yangu watairudisha, nitafika popote panapowezekana. Haiwezekani tunapata faida ndogo sana alafu wao tunaowategemea wanakuwa sehemu ya kutufilisi.
  9. kimaus

    Tigo wanashirikiana na matapeli kutapeli mawakala wao?

    Shukran. I will. I will sue them!
  10. kimaus

    Tigo wanashirikiana na matapeli kutapeli mawakala wao?

    Mke wangu alienda tigoshop wakaangalia
  11. kimaus

    Tigo wanashirikiana na matapeli kutapeli mawakala wao?

    Kwa nini mrudishe pesa kwa mteja aliyetoa pesa kwa wakala bila ya kumpigia wakala? Kwa nini mrudishe muamala wenye utata bila ya kuwaita wote, kufuata protocol zenu wenyewe za kuangalia mnara ulitumikq? Hamuoni kuwa hamkwepi kuwa accomplice?
  12. kimaus

    Tigo wanashirikiana na matapeli kutapeli mawakala wao?

    Mteja kaja katoa fedha kihalali, alafu wakala ana pay the price?
  13. kimaus

    Tigo wanashirikiana na matapeli kutapeli mawakala wao?

    Sasa kama unakiri inawezekana kuna uzembe, kwa nini useme si kweli?
  14. kimaus

    Tigo wanashirikiana na matapeli kutapeli mawakala wao?

    Mi nimedhulumiwa mtu anakuja anasema si kweli
Back
Top Bottom