Napenda kuwatangazia wakazi wa Yombo, Kilakala, Buza, Makangarawe, Uwazi, Relini, Davis Kona, Mcharingeni, Machimbo, na vitongoji vyake waliokuwa wanahangaika siku zote kwenda HUKO MJINI KATI, UBUNGU, MBEZI TOWN kusaka Elimu ya Lugha ya KIINGEREZA, KIFARANSA, HISABATI, KEMIA NA FIZIKIA na WALE...