Hakuna mwanasiasa mzalendo, labda Kwa wanaotetea haki za watu na Mali za umma. Kitendo Cha mtu kutoa uhai wake sio kigezo Cha uzalendo. Wapo wanaotoa uhai wao kutetea maslahi yao(nafasi) zao huo sio uzalendo.
Uzalendo gani wa kutesa wengine ili usiwe na uwanja sawa katika siasa? Hakuna...
Mwanao anasaidiwa kuongeza maarifa unaona heri akae nyumbani kucheza Cha ndimu, shuleni Nako wanapumzika kwa kuwa walimu wanafundisha masomo machache yenye Changamoto(siyo masomo yote)
Watoto wa Sasa ni watoto michezo Msingi bila kupewa muda wa kufanya marudio tutafelisha Sana ambayo madhara...
Mchawi akikuombea, ujue dua yake haina faida kwako. Mpango wa Mrema, kigaila na mwalimu umekufa ghafla Sana hata Lissu bado hajatoka!!
Dhamira ilikuwa Lissu akitoka akute wafuasi wote wamepelekwa Chauma lkn HECHE LEMA NA MNYIKA wamesimama imara Sana
Heshima ya Mbowe ndiyo umepotea kabisa, hata...
Gambo anakiri wote wameumiza watu lkn idadi ya mwenzake ni kubwa zaidi, kwahiyo kila mmoja analo file la mwenzake, hahahaha piga za chembe nikupige za uso
Ukiwa na familia ukaanza kunyanyasa au ukaua mwanafamilia serikali itaiingilia Kati kuwa umefanya kinyume na haki za binadamu
Kwa Sasa tangu 2019,2020,2024 wananchi tumeteswa kwenye chaguzi zetu, Sasa Kama ambavyo serikali inaweza kumfurusha mwanafamilia mkatili, je bunge la Ulaya kosa lake...
Unapiga kura ugundue nini?
Uchaguzi haupo hapo. Kazi wanayo wasimamizi, watapiga kura usiku kucha maana wananchi watakaokuja ni wachache na maeneo mengine itakuwa hakuna wapiga kura
TAL & HECHE wamegawana majukumu ya kazi!! Kila mmoja anazungumza Mambo mahsusi ya nchi. Punguza kiherehere
Mbona mama yenu anazungumza amani, amani amani lkn hagusii kabisa HAKI!!
Anajua kabisa hatendi haki kwa Mambo mengi. Bila haki kutendeka amani haitakuwepo kabisa. Nani wa kukubali kuumizwa...
Uliyesema wabangaizaji hawamtishi lkn wamemrudisha nyumbani kucheza na paka!!
Comparison hufanywa na chawa, wenye ideology wanaishi kwa amani kwa kuwa Wana Cha kupigania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.