Alichokifanya Mmh.Rais katika hili yuko sahihi wanafunzi wanahangaika mitaani kutafta makaazi afu kuwapunguzia bei inakuwa tatizo. Wamiliki wa hostel binafsi wanatakiwa kuboresha miundombinu na mazingira husika waache bei ka ilivokuwa kwao ili mwanafunzi afanye choice ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.