kwani uhuni ni lazima mtu avae mlegezo (katakundu)? au akiwa na umri mkubwa hawezi kuwa muhuni? hawa viongozi wa ccm wote wamekuwa wahuni na mafisadi tena wanyonyaji wasio na huruma na watanzania walio wengi kuliko hicho kikundi chao kidogo. lakini utafika wakati kila kitu kitakuwa bayana (time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.