Recent content by kilimafedha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua juu ya matumizi ya mbolea ya mavi ya popo

    kuna sehemu yapo zaidi ya gunia ishirini mbona!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mbolea ya asili

    Habari wadau, Napenda nifahamu kuhusu matumizi ya kinyesi cha popo kama mbolea kwenye kilmo hasa cha mpunga. Je, naweza kuitumia kama aina gani ya mbolea; ya kupandia au kukuzia? Je, nitumie kiasi gani kwa ekari?
Back
Top Bottom