Recent content by kilibaha

  1. K

    Natafuta gari ya hesabu kufanyia bolt na uber

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
Back
Top Bottom