Recent content by kilibageorge

  1. K

    ni fanye nin kuhusu mke wangu?

    Pole sana kaka... Mi nikwambie tu hapo huyo si mke wako tena cz tayari ameshabeba ujauzito wa rafiki yako. Jaribu kumsahau hata kama unampenda sana, endelea na maisha yako hasa kama umeshaanza kujaribu maisha mengine huko Arusha, nenda huko ukafanye maisha
Back
Top Bottom