yuko singida
Iramba kiomboi mjin shule ya msingi kiomboi bomani
nataka kwenda morogoro,pwan na tanga.
nibeep kwa namba hii au tuma sms 0717325621 changamka ameamua huyu.
njoo singida iramba aje (pwani, morogoro) wilaya yeyote ya mikoa hiyo au manyoni
njoo rukwa aje singida
njoo shinyanga vijijin aje dodoma wila
y
a yeyote
0755641610
jaman hiv kwa nn hamtaki kurudi makwenu nas tuende makwetu,hiv mfanya nn huku kwenu mpaka mnapaogopa loh wizara iangalie swala hili watu wafanye kaz kwao.
Wasingida rudin kwenu nas wa pwan turud kwetu.
mwalim msingi niko singida wilaya ya Iramba(shelui) natafuta wa kubadilishana nae kutoka popote mkoa wa pwan na popote mkoa wa morogoro na dar pia.0717325621
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.