Masada naomba munielimishe faida anayopata mtu analiyesoma mpaka kinda to cha Sita na na kuingia Chuo Baada ya kufaulu na Faida au hasara gani atayopata mtu anayekufaulu kuingia a-level lakini anaamua kuingia Chuo bila kupitia advance level naomba munisaidie wadau
naomba kwa yoyote anayefahamu utaratibu wa kuhama shule maana nimeapangiwa tambaza comb ya cbg nina , hata ivo cpo vizuri katika geog, mimi naitaji nihame niende minaki kusoma pcb, je inawezekana nikafanikiwa kuhama kabla ya kuingia shule?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.