Recent content by kikosi.group

  1. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hiyo nguzo ya tatu ni ile mnaita setting hailipiwi sasa kama kwangu ni nguzo mbili hiyo 120+inayoka wapi? Mimi ninahitaji nguzo 2 na hiyo ya tatu ni ile mnaita setting NAOMBA MSAADA HAPA
  2. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sijui aliyefanya savey aliamua kunihujumu maana kwangu ni kama nguzo 2 ila kwasababu kuna nyumba umezuia nguzo ilibidi kuna ile nguzo ndogo kwaajili ya ku jumpa ambayo ni kama mita 5 hivi ndio upate njia ya kuingia kwangu ambapo ni nguzo 2 tu sasa sijui utanisaidiaje kwani saveyor inainekana...
  3. K

  4. K

    ili kujua hatua zalizofikiwa nitabidi nisubiri muda gani?
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndio jina valence cassian kundy
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    0755705925 Moshi Moshi vijijini Nimecheleweshewa kupewa number ya malipo tangu mwezi wa 9 mwaka jana
  7. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    mwezi wa 9 mwaka jana
  8. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    hivyo nitasubiri muda gani Ili niweze kulipia? Pia hesabu itatoka lini?
  9. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Lini nitapata control number nikekaa muda mrefu sana bila kupata
  10. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi naitwa VALENCE CASSIAN KUNDY NIPO MOSHI NILIOMBA KUUNGANISHIWA UMEME TOKA MWEZI WA 8 MWAKA JANA NIKAFANYA SURVEY ILA HADI LEO SIJAPATA CONTROL NUMBER NA KIKA NIKIFIKA OFISINI WANASEMA MTANDAO UPI CHINI SIJUI MTANISAIDIAJE? 0755705925
  11. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi ili uunganishiwe umeme kwa haraka ni mpaka ipige kwa waziri? Maana hata mimi nimesita sana Sijapata umeme
  12. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mbona sijapata jibu hapa au tanesco wanachagua hoja?
  13. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco nililipia nguzo mblili toka january hadi leo sijapata huduma dasa yapata week ya tatu wameleta nguzo wameacha hapo na hawajasema chochita Nipo moshi kituo cha huduma ni Himo Jina: casian kundy wa kirua vunjo moshi Msaada tafadhali
Back
Top Bottom