Recent content by kikiey

  1. kikiey

    Matatizo katika simu

    Nimeweka nyingne karbu aina 4 tofaut stil tatzo ni hilo hiloo
  2. kikiey

    Matatizo katika simu

    Vitu kwa internal storag vnakaa frex tuu...sema ukibadil storag ndo tatzo linaanza
  3. kikiey

    Matatizo katika simu

    Asante nahic iko tumbon kw samaki mda huu
  4. kikiey

    Matatizo katika simu

    Nna huawei y-530 nimeweka 8gb card lakin cha ajabu nkiingiza vtu ikafika ujazo wa 20mb havisomi kama ni picha ukiingza inaandka "cant load this file" nkiweka nyimbo inaandka "this file doesnt exist in your media" nkabadili na kueka 4gb matatzo ni yaleyale nkabadlisha tena na kueka 2gb lakin...
Back
Top Bottom