Recent content by kiki14

  1. K

    Simuelewi mtu huyu

    Posa na mahari keshatoa ilikuwa tufunge ndoa mwaka jana ila kukatokea dharula
  2. K

    Simuelewi mtu huyu

    siwezi acha tena kazi
  3. K

    Wanaume tukumbuke unapopata mpenzi mpya kumbuka umevunja mahusiano ya mwingine

    kwenye maisha kuna kuumiza na kuumizana hilo haliepukiki binadamu siye ni wabinafsi tangu kuumbwa kila mtu anataka kizuri awe nacho yeye tu
  4. K

    Simuelewi mtu huyu

    Habarini kwanza, naombeni ushauri kwa hili. Nina watoto 2 nimeishi na mwenazngu kwa miaka 5 ila bado hatujafunga ndoa mwenzangu ameanza tabia za ajabu ambazo hapo kabla sikuwahi kuzijua kabisa kawa mlevi wanawake ndo usiseme nilipokuja kugundua nilipewa kipigo nikaamua kurudi kwetu maana...
  5. K

    Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

    kumbe na wanaume huwa wanachezewa nilijua wanawake tu.
Back
Top Bottom