Recent content by KIJICHO PEVU

  1. K

    GE2025 Nyomi ya Wananchi wa Mufindi (Nyororo) Kumlaki Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu

    𝗡𝗬𝗢𝗠𝗜 𝗟𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗨𝗙𝗜𝗡𝗗𝗜 (𝗡𝗬𝗢𝗥𝗢𝗥𝗢) 𝗞𝗨𝗠𝗟𝗔𝗞𝗜 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝙒𝙖𝙢𝙪𝙝𝙖𝙠𝙞𝙠𝙞𝙨𝙝𝙞𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙊𝙠𝙩𝙤𝙗𝙖 29 𝙝𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙞𝙯𝙪𝙞𝙯𝙞, 𝙠𝙪𝙧𝙖 𝙯𝙤𝙩𝙚 𝙯𝙖 𝙣𝙙𝙞𝙮𝙤 𝙣𝙞 𝙯𝙖𝙠𝙚. Sehemu ya Wananchi wa Nyororo Wilayani Mufindi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 06...
  2. K

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗕𝗔𝗥𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔𝗢𝗘𝗡𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗜𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝙒𝙖𝙢𝙚𝙢𝙥𝙤𝙠𝙚𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙢𝙬𝙞𝙢𝙗𝙞𝙖 𝙬𝙞𝙢𝙗𝙤 𝙬𝙖 "𝙃𝙖𝙠𝙪𝙣𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙈𝙖𝙢𝙖, 𝘾𝙝𝙖𝙥𝙖 𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙈𝙗𝙖𝙧𝙖𝙡𝙞 𝙩𝙪𝙥𝙤 𝙣𝙖𝙬𝙚" Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 alipowasili na kupokelewa na...
  3. K

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗜𝗠𝗘𝗔𝗡𝗭𝗔, 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗨𝗡𝗚𝗨𝗥𝗨𝗠𝗔 𝗨𝗬𝗢𝗟𝗘 Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akizungumza na wananchi wa Uyole wakati akielekea Rungwe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama...
  4. K

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗟𝗢𝗪𝗢 𝗪𝗔𝗠𝗨𝗔𝗛𝗜𝗗𝗜 𝗞𝗨𝗥𝗔 𝗭𝗔 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akisalimiana na kuzungumza na wananchi wa Kata ya Mlowo wilayani Mbozi mkoani Songwe wakati akiwa njiani kuelekea...
  5. K

    GE2025 Tatizo la umeme kumalizwa kabisa mkoani Songwe

    Mgombea wetu wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻, amesema moja kati ya dhamira na kipaumbele chake ni kujenga barabara za kiwango cha lami katika wilaya zote ili kuziunganisha na makao makuu ya mikoa yote nchi...
  6. K

    GE2025 Taarifa ziwafikie popote walipo ya kwamba CCM ni namba moja daima

    𝗧𝗔𝗔𝗥𝗜𝗙𝗔 𝗭𝗜𝗪𝗔𝗙𝗜𝗞𝗜𝗘 𝗣𝗢𝗣𝗢𝗧𝗘 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗣𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗖𝗖𝗠 𝗡𝗜 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗗𝗔𝗜𝗠𝗔 Hayo sio maneno tu ya msanii Alikiba bali ameyanukuu kutoka kwa Wanachama, Wapenzi, Mashabiki na Wadau mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba CCM ni namba moja daima, wapinzane wakae wajue hilo, waache kujisahaulisha...
  7. K

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    𝗩𝗪𝗔𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗠𝗦𝗜𝗞𝗜𝗟𝗜𝗭𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗔𝗛𝗜𝗗𝗜 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗠𝗜𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akizungumza na wananchi wa Vwawa mkoani Songwe kwa kunadi sera na ahadi zake...
  8. K

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    𝗨𝗙𝗔𝗟𝗠𝗘 𝗨𝗡𝗔𝗛𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨 𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗣𝗔 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗩𝗪𝗔𝗪𝗔 𝗜𝗠𝗘𝗝𝗜𝗗𝗛𝗜𝗜𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 Ukirejea katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mathayo 11: mstari wa 12 umeleza kuwa "Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka" Kwa...
  9. K

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗭𝗔 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗕𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗩𝗪𝗔𝗪𝗔 - 𝗦𝗢𝗡𝗚𝗪𝗘 Umati huu wa maelfu ya Wananchi wa Vwawa katika kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 unatosha kabisa kuthibitisha ya kwamba wananchi hawa...
  10. K

    GE2025 Mapokezi ya Mgombea Mwenza Balozi Emmanuel Nchimbi Kishapu – Shinyanga

    MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA BALOZI EMMANUEL NCHIMBI KISHAPU – SHINYANGA Mgombea Mwenza wa Nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Emmanuel Nchimbi, akiwasili Kishapu mkoani Shinyanga kwa ajili ya muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, ambapo alipokelewa kwa shangwe na...
  11. K

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    BALOZI NCHIMBI AUNGURUMA LALAGO - MASWA Mgombea Mwenza wa CCM, Balozi Emmanuel Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Lalago – Maswa katika mkutano wa hadhara. Amewasilisha Ilani ya CCM 2025–2030, akieleza mafanikio yaliyopatikana Maswa chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuahidi...
  12. K

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    DKT.NCHIMBI NDANI YA JIMBO LA KISESA, MEATU AKIENDELEA NA MIKUTANO KUOMBA KURA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU MAMIA ya Wananchi wa Kata ya Mwandoya ndani ya Jimbo la Kisesa,wilayani Meatu wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi wakati...
  13. K

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    DKT.NCHIMBI AWANADI WAGOMBEA UBUNGE,MADIWANI WA SIMIYU KWA WANANCHI MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dkt.Emmanuel John Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na wananchi alipokuwa akiwasili katika uwanja wa CCM,wilaya ya Bariadi Vijijini mkoani Simiyu...
  14. K

    GE2025 Wasira: Kwa kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia anastahili kuchaguliwa aendelee kuongoza

    WASIRA: KWA KAZI KUBWA ALIYOIFANYA DK. SAMIA ANASTAHILI KUCHAGULIWA AENDELEE KUONGOZA. Na Mwandishi Wetu,Babati MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema wakati wanamuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Dk. Samia Suluhu Hassan, Watanzania ni...
  15. K

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Nyomi la Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamekusanyika katika Viwanja vya Tumbaku mkoani Morogoro kwa ajili ya kumsubiri mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM mpendwa wetu Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 ambaye ameendelea kuipeperusha vema bendera ya...
Back
Top Bottom