Mambo mengi sana yanafanywa kimchongo mchongo na wananchi hawajali ndo furaha kwa viongozi
Mateso ya foleni karibia mwaka mmoja alafu inaongezwa njia moja
Wewe unamatatizo ya akili sana swala la quran umekimbilia kwenye biblia hapo hata mimi muislamu unanshangaza sana
Hii ndo changamoto ya hii dini yangu ya uislamu unaulizwa hivi unajibu vile
Huwezi muuliza mkristo mambo ya dini yake akatumia quran hata siku-moja nyie ndo mnafayoiharibu dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.