It doesnt matter by the way i can reach there sababu naamin umri unanruhusu sn u knw am not even past 25 am just a very luck man u know
So sina sabab ya kupanik mi natoa oja ya she is funny nlienjoy nngekua nmekasirika nsingemjib ndo kawaida yangu kwn lazima kifungua uzi,si nautafuta mwenyewe?
Mi manager we nunga nyembe, umeniudh imebid nikwambie ukwel, na najua hutoamin bt haitabadili ukwel...ni kijana na tyr ni manager na usomi wangu ndo umeniwezesha kuachive haya ktk umri mdogo so tafuta point nyingine na i know i can get any girl i want
tea manager ktk kampun kubwa tu nkitaja...
tmia lugha nzur unakua km wanasiasa wanaodhan kutoa lugha chafu ndo kuwasilisha hoja bna>>>kwel mungu niepushe na wanawake wa aina hii ata barabarani:biggrin1:
unadhan wasom ni watu wasiojitambua km wewe? there's a reason ni wasom so maneno yako ni mawazo yako tu u cn keep it to yourself we bak na wa kitaa km kuna msom anakutaka bas nampa pole bt anatakiwa ajue wanawake wengine weng tu wannamhitaji aachane nawe...alaf nawe utakua mwanamke wa pwan!
hao wanawake wa kitaa waongo lara, we unaamin mwanamme msom atoke na mwanamke wa kitaa? mwanamme msom akitoka na demu wa kitaa jua hawara uyo na hawara halalamiki au unaonaje...
ungewauliza ni maneno ya wakosaj tu binadam ana matatizo akiona hawez kumpata msom anatafuta kitu kujimek proud...
point yako ni nzur, mi nashangaa kwanin wanasema vitu kwa kudefend upande wao pls come na argument nzur lara otherwise am off..
unasema msom mbov ndo maana madem wataenda kwa asiye msome
usem kuwa wasio wasomi weng tu pia wabov wapo point yako nadhan ni kuna msom unamwonea wiv alikua x wako au...
Nakubaliana na ww inawezekana mada yako ikawa na ukwel na nahis ina ukwel ila pia mm kama msom pia sidhan ukiwa msomi lazima uwe ivo inadepend na vitu ving ujue na mtu anaweza akawa kabwela na akawa mbov, na by the way hao ndo wamejaa kutafuta dawa za kuongeza nguv bt nadhan always kitu kizur...
umeongea point maana mi nakereka na watu wanaopenda kugeneralize vitu kwa kuhoji marafik zao mitaani sijui kwa nn
binadam tunatofautiana sn muelewe, mwingine anapenda vicheche alafu anageneralize wanawake wote wako after money
na mi ndo maan nkasema sitakaa kuoa mianamke ya aina hii, hii ni mianamke ya mtaani isiyo na mbele wala nyuma wanaume wenzangu wenye kaz nzur na maisha mazur msioe hawa hawana shukran acha waende kwa hao wanaowataka na sis tubak na wanaotutaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.