Recent content by KIIBA

  1. K

    JamiiForums Tanzania NAUZA MASHUDU YA ALIZETI NYEUSI.

    Habarini wana JF, nina mashudu ya alizeti tani 10 yapo Tabora, Natafuta mtu wa kuja kuyanunua kwa bei Tsh 250/= kwa kilo kwa mawasiliano zaidi 0783552816 and 0746495816
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Soko la asali Dar

    Utachagua tukuletee mzigo mpaka dar,, au wewe uijie tabora lakini ukifata mzigo bei inapungua kuwa 140000 kwa dumu sababu usafiri ni 15000 kwa dumu na vibali vya kusafirisha tunakupa tunavyo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Soko la asali Dar

    Ndio Lita 8000 ya nyuki wakubwa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Soko la asali Dar

    Bei maelewano dumu la lita 20 ni 160000
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Soko la asali Dar

    Nina asali mbichi toka Tabora ya nyuki wadogo na wakubwa natafuta soko popote ulipo hasa Dar es salaam anayehitaji anifate inbox au no 0783552816 nipo Urambo Tabora
  6. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mashudu ya alizeti

    Kwa mawasiliano yangu tufanye hyo biashara ni 0783552816 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    Kweli tumekuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mashudu ya alizeti

    Tabora wilaya ya urambo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mashudu ya alizeti

    Wapi huko ndugu?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mashudu ya alizeti

    Nina tani kazaa za mashudu ya alizeti na pumba za mahindi, natafuta soko nipo Tabora.
Back
Top Bottom