Hivi ndugu yangu tuongee ukweli wa kumuogopa mwenyezi Mungu,Yesu hakuwa kuwa na Dini?Mitume wote wa Mwenyezi Mungu walikuwa wana Dini na ndiyo maana walikuwa hawapingani,na wote wanatoka kwa Ibrahimu ambaye ndiye baba yao
Ndugu yangu Mungu asingemuumbia mwanadamu bila Dini,hata huyo Yesu alikuta wazazi wake wana Dini na aliabudu kwa kupitia dini ya wazazi wake na mpaka anaondoka hakuihasi dini yake,
Ukweli utaujua siku utakapokufa,na hutapewa mda wa kuwaambia wenzako sababu mda wako wa kuishi duniani utakuwa umekwisha,Siku utakapoulizwa kaburini Mungu wako nani?Dini yako dini
Hivi nyie mlioumbwa na Mwenyezi Mungu,siku mtakaporudi kwake halafu mkakutana naye,mkamwambia sisi hatukutambua siyo uliyotuumba,aliyeetuumba Yesu,mnategemea adhabu yenu itakuwaje?
Ukitaka kuangalia toka Mtume Ibrahimu,Nuhu,Musa,Yesu,Mpaka Mtume Muhamad na mitumee wengine wote walichokuwa wakihubiri ni kuhusu kutambua Mungu mmoja, Muumba wa vitu vyote,na wanaofwata hayo mafundisho ni Waisilamu peke yao.
Ukienda upande mwingine ukataka kumuongezea Mungu mwingine...
Kwa hiyo tusimamie wapi,pale wanaposema Yesu
Kwa hiyo tusimamie wapi wale wanaosema yesu ni mtume kama mitume wengine na ni kati ya viumbe vya mwenyezi Mungu,na Yupo Mungu mwenyewe ambaye hakuzaliwa wala hakuzaa hana mwanzo wala mwisho.
Nakushauli soma Dini kwa akili yako usikubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.