Recent content by Kigs0989

  1. K

    KERO Wizara ya Ardhi tunaomba muichunguze Halmashauri ya Kigamboni, Dar, inauza maeneo yaliyotengwa kuwa wazi

    Ni kweli lakini uwajibikaji wa kulinda mipango miji lazima uheshimiwe. Tumeona ya Sinza, ya Mbeya na mafuriko. Miji Inakua na ni muhimu sana kuacha sehemu za upumuaji - maeneo ya wazi, dampo, upanuzi wa huduma. Kwa kifupi, kigamboni imekuwa Kama ‘playing field’ ya uuzaji holela- viwanja vidogo...
  2. K

    KERO Wizara ya Ardhi tunaomba muichunguze Halmashauri ya Kigamboni, Dar, inauza maeneo yaliyotengwa kuwa wazi

    Nawasilisha malalamiko yangu kwa Waziri wa Ardhi, nikiomba Wizara ifanye uchunguzi kuhusu mwenendo wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni, ambayo inachukua maeneo ya wazi (Mfano: Madoli) na kuyagawa kama viwanja kwa watu wanaofahamiana na baadhi ya viongozi wa mamlaka hiyo. Aidha, kuna madai...
Back
Top Bottom