Hakika jambo hilo si kuwajibu watu kwa kejeli. Linawakabili watu wengi jambo la kufanya ni mtu kujikabidhi kwa Mungu kiimani ili mtu aogope kutokana na dhambi ya kufanya hivyo kiimani hapo mtu anaweza kuacha. Vinginevyo ni kazi ngumu kuiacha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.