Recent content by kievhap

  1. kievhap

    Nafasi za jwtz

    Kaka recruitment kila mwaka is inevitable bcoz mamia wanastaafu every year which creates a void that needs to be filled with new blood. Recruitment inaweza ikachelewa tu, lakini ipo mwaka huu kama kawa.
  2. kievhap

    Nafasi za jwtz

    Mzeya ni hivi: Mpango mzima ni March 2012. Anza mazoezi kabisa. Formation ni 66. That is Six Months JKT + Six Months TMA. Over.
  3. kievhap

    Nafasi za jwtz

    Kuongezea tu hapo ni kwamba: Siku ya siku njoo na mavazi yatakayoruhusu kukimbia easily coz kuna kukimbia sana, sometimes 4 a number of days. Backpack itakuwa muafaka for certificate storage. Njoo na maji yako ya kunywa au vijoti. (No body will give you water.) Prepare 4 maudhi ambayo hujapata...
  4. kievhap

    Nafasi za jwtz

    Wadau inakuaje? Naona the thread is dead for a week now. Any news on recruitment?
  5. kievhap

    Nafasi za jwtz

    As good as this sounds, its impossible. Jamani tuwe realistic. Tuchangie point zenye mashiko.
  6. kievhap

    Nafasi za jwtz

    Mzeeya hizi story za jeshi watangaza leo, watatangaza kesho, watatangaza mwezi ujao nimeshazikia sanaa, and each time they were false. That's why I'm a bit sceptical.
  7. kievhap

    Nafasi za jwtz

    Nimesikia kuwa hata kwa graduates kuna age restriction (28 yrs -> Bachelor), (35 yrs -> Masters), je kuna ukweli wowote hapa?
  8. kievhap

    Nafasi za jwtz

    Mdau I really hope your source is valid coz nimekuwa nasikilizia hizo nafasi za graduates since september 2011 mpaka leo hola. If you manage to confirm the news please share the knowledge with us. Mimi ni graduate wa juzi tu, nafikiri JWTZ patanifaa given a chance.
Back
Top Bottom