Recent content by kidyama

  1. K

    Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Michango unayowaagiza watumishi wako inahujumu serikali na CCM Manispaa ya Tabora

    Rais wa Jamhuri ya Muungano anaamini katika kuwatumikia wananchi kwa uadilifu. Kwa nyakati tofauti Rais amesikika akipiga marufuku michango ya hovyo hovyo inayogeuka kero kwa wananchi. Kwa ujasiri bila kuogopa, Mkuu wa Wilaya ya Tabora Manispaa anatenda kinyume. Kuna viashiria vya ubadhirifu...
  2. K

    Dkt. Vincent Mashinji: Viongozi tumeondoka kila mmoja na siri kubwa kichwani

    Baada ya kusajili kila aina ya mwana CCM basi waache woga,waruhusu ushindani,waruhusu mapambano jukwaani ili wananchi wasikilize hoja za upinzani Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Kigoma: Madiwani watano wa ACT Wazalendo wahamia CCM

    Hoja za manunuzi tumeshazichoka,alinunuliwa Wabunge sembuse hao madiwani waliobakiza miezi 3 ya udiwani? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Kinana na Makamba kwanini wahojiwe Lumumba na sio Dodoma?

    Pamoja na tambo na matusi ya Polepole dhidi yao lkn wamemuonesha Bashiru kuwa lazima awe na adabu kwa wakubwa. Waliitwa kuhojiwa Dodoma, wamegoma kwenda CCM ikabadili venue kutii misimamo yao. Kinana alipofika Baahiru aliishia kuamkia na baada ya hapo Kinana ndie kawahoji Bashiru na Mangula...
  5. K

    Tetesi: Ansbert Ngurumo: Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa CCM

    Wewe utakuwa umeanza kufuatilia siasa baada ya Musiba kuanziasha kipeperushi chake. Kinana kaomba kujiuzuru kwa zaidi ya mara tatu,kila alipoomba aache ukatibu Mkuu ,chama kilikataa,angekuwa anaakili za takataka na mpenda pesa asingeomba kujiuzuru bila shinikizo lolote. Kinana aliondoka wana...
  6. K

    BBC News: Tanzania MP Zitto Kabwe gets death threats over World Bank loan

    CCM wanatakiwa kutambua kuwa sasa hivi kila simu inayo Camera,dunia imekuwa kijiji,ukijadili uovu ukiwa popote Dunia nzima itajua ,video za zile hate speech za Bungeni sasa hivi zipo mikononi mwa vyombo vya habari vya kimataifa,wafadhili wote wa Tanzania wapata kila kinachojadiliwa Bungeni na...
  7. K

    Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

    Ndugu wana JF, kila mmoja amesoma tamko la hasira la Marekani juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paul Makonda. Kwa desturi za USA, mlengwa mkuu hapo ni Rais Magufuli na serikali yake, walichofanya ni kuipima serikali yetu itamfanya nini Makonda baada ya wao kutangazia Dunia kuwa...
  8. K

    Ratiba ya Zitto Kurudi Iwekwe Wazi Tumpokee Kishujaa

    Mpaka sasa Kangi Lugola mkuu wa wachakazaji leo ni zamu yeke kuchakaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Kwanini Zitto alitumia nembo ya Bunge kuandika barua binafsi kwa Benki ya Dunia? Kwangu mimi huko ni kuhalalisha 'kushughulikiwa' na Bunge

    Kwahiyo kama unakiri hakuna sheria iliyovunjwa,unadhani Ndugai na CCM wenzake watamshugulikia kwa sheria ipi wakati hata wewe mwandishi unakiri hakuna sheria iliyovunjwa? Kwahiyo unakiri ni mwendelezo wa vitisho na kelele zenye lengo la kuwanyamanzisha wanaounga mkono maoni ya Zitto Sent using...
  10. K

    Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

    Kwamba Zitto akiwa kiongozi wa chama cha ACT anaoteza sifa ya kuwa Mbunge? Hakuna mipaka ya Ubunge wa Zitto ilimradi anachokifanya kipo ndani ya sheria. Zitto shika hapohapo,hawana hoja mbadala ,sasa naona wanahaha na kudhani vitisho vitawasaidia. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

    Zitto anayo IQ kubwa kudeal na watu wasiojali tena sheria na katiba yetu. World Bank watakuwa wamezuia huo mkopo,kama wamezuia litakuwa jambo jema,wasubiri mpaka Rais mpya aingie madarakani mwezi Novemba ndio walete hizo pesa,sasa hivi fedha itaelekezwa kusaidia CCM kwenye uchaguzi,ukisikia...
  12. K

    Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

    Zitto Kabwe kaitendea haki Kigoma kwa kuwa Mbunge anaetetea maslahi ya watoto wa Kike bila kujali itikadi zao. Hakika huyu ni Mbunge wa Mfano,Bunge linayomengi ya kuhoji kabla ya kumuhoji Zitto. Bunge lihoji ujenzi wa Chato International Airport bajeti ilipitishwa wapi? Bunge lihoji...
  13. K

    Ndugu Karugutu (Afisa Elimu msingi Wilaya ya Uyui) jirekebishe, acha kuwatesa walimu kwa kuwafokea badala ya kuwaeleza kwa adabu na utu!

    Karugutu anapenda rushwa? Wewe humjui Karugutu na madai yako yatakosa nguvu. Unaanzaje kujadiliana kuhusu rushwa na Karugutu,unaanzaje? Karugutu ni Mkuu Wa Idara karibu miaka 10 lkn Hana hata Gari ya kutembelea,hata Gari la ofisi huwa hatumii kama haendi mashuleni,huyo jamaa yupo kizamani sana...
  14. K

    Ndugu Karugutu (Afisa Elimu msingi Wilaya ya Uyui) jirekebishe, acha kuwatesa walimu kwa kuwafokea badala ya kuwaeleza kwa adabu na utu!

    Wewe ulieandika kuhusu karugutu hujajitendea haki,namjua vizuri Zuberi Karugutu,ni MTU Wa principle Ana nisimamo mikali. Kwa wilaya iliyopo nyuma kitaaluma kama uyui inahitaji mtu Wa misimamo na asieyumbishwa. Walimubkila siku kwenda Ofisibza Elimu ukiwauliza kufanya nini hawaeleweki. Kama...
  15. K

    Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Wewe Elia unapata wapi mamlaka ya kumsemea Mh Rais,hotuba yake mbona ipo mtandao Wa YOUTUBE? Unaweza kumjibu Zitto Kabwe kwa hoja zingine,sio kukanusha alichokisema Rais Magufuli . Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom