Recent content by KIDUNUNDU

  1. K

    JamiiForums Tanzania Brain-teasing political question: Je, Mbowe akienda CHAUMMA na G55 na kuwa Mwenyekiti. Unadhani upepo wa umati wa watu mikutanoni utabadilika?

    Kifupi hii ni test kwa nchi kwa kile tulichojivunia miaka mingi ya kuwa tunalinda sana nchi yetu. Kufeli kwa cdm itakuwa mwanzo mpya na hii itawafanya maadui wa nchi kujua thamani yetu na watatununua wote..haingii akilini kwa namna yeyote kiongozi wako hata kama kakukosea vipi yupo katika hali...
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya wanachama Katavi wahama CHADEMA, waisomea dua ya maiti!

    Wanaohama ni viongozi sio wanachama..kama kutaanza kiwa na muitikio kwenye mikutamo hasi happ sawa
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya wanachama Katavi wahama CHADEMA, waisomea dua ya maiti!

    Unahama kipindi ambacho kiongozi wako yupo ndani na kesi kubwa..hii ni sawa na mke kukimbia mme baadabya mme kupata matatizo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tumetoka Ukraine tukahamishiwa Palestina, sasa tunaelekea kwa Wahindi - TAHADHARI

    Play smart hakikisha mambo ya nyumbani kwako unayamaliza kama mtoto mtuti mfinye ndani na hakikisha asitoke nje akilia huku akiwa uchi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuwaomba Msaada Marekani na Uingereza kuja kutulinda Raia wa Tanzania tunaodai haki zetu?

    Hawaji everything on silverplate...labda mje nyie ya visingizio kuwa ni minority mnaonewa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuwaomba Msaada Marekani na Uingereza kuja kutulinda Raia wa Tanzania tunaodai haki zetu?

    Acha mfano wa Libya ile ilikuwa pira
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hima-Tutsi empire and the Western corporate: Marriage made in hell

    They don't spare who are not theirs
  8. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imekosa Agenda za kisiasa, inatafuta chaka la kujifichia!

    Sidhani...maana tl hawezi kucompromise kama mb na unajaua siasa ni namna ya kuwashirikisha watu waone kama wana maamuzi..ningeweza kuwashauri ni kuweka influence sawa kwenye vyama vyote ili gvt machinery iweze kucontrol huku maslahi ya taifa yakilindwa. Kwa sasa kuna loope hole kubwa sana ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imekosa Agenda za kisiasa, inatafuta chaka la kujifichia!

    Una uhakika 2030 kitakuwepo au kitakuwa kama tlp
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imekosa Agenda za kisiasa, inatafuta chaka la kujifichia!

    Kwa sasa ndio sura yao imeonekana hivyo wanachama waone wawe pamoja au waachane nao
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imekosa Agenda za kisiasa, inatafuta chaka la kujifichia!

    Imepigwa nyundo
Back
Top Bottom