Recent content by Kidster

  1. K

    Hv girls huweza penda mtu baada ya mwingine kuwatoa bk? Alimuacha jamaa after kumforce 2 min.

    Nampenda kweli na najua hilo. Basi tu nilikuwa na matamanio ya kupata virgin kama mimi. Na pia nilihofia kwani she is so descent kama alimpa mtu virginity inamaana alimpenda sana tena sana na hiyo inanitisha coz walikuwa wote sio mda tu. But nazidi kufunguka as people talk. Naweza nisiwe mtoto...
  2. K

  3. K

    Thanks, dah I was lost yan. Japo I still hurt but now najua I lost nothing much. And I can still move on.
  4. K

    Hv girls huweza penda mtu baada ya mwingine kuwatoa bk? Alimuacha jamaa after kumforce 2 min.

    Unajua kaka, sijui much but alivonielezea it seems ni kweli thats wht happened sitaki kumuuliza zaidi but alivonambia nikaona haiwezekani akaniambie how. SO it did happen in two minute na coz anaonesha kunipenda nikajaribu kufight kuisupress ila nikawa nabaki na maswali so nkaamua kuuliza tu.
  5. K

    Hv girls huweza penda mtu baada ya mwingine kuwatoa bk? Alimuacha jamaa after kumforce 2 min.

    Nimekuelewa sana tena sana, na umenisaidia sana, nilifanya hivo a coz sio siri huyu msichan niwa aina yake kitabia. But aliniambia ilivotokea na ilikuwa jamaa alimoforce na ilimtrick sana. So nikamuelewa. Ila tu unajua nilitegemmea story tofauti ikaniumiza sana.
  6. K

    Hv girls huweza penda mtu baada ya mwingine kuwatoa bk? Alimuacha jamaa after kumforce 2 min.

    Yep, huwa najitahidi kuwa hakunidanganya kwa sababu ya her nature. Ila kama alinidanganya then thats terrible. Nilijaribu kuuliza sana abt that na akanieleza kila kitu japo alikuwa anasema anaregret so hapendi kukumbuka. But sijui kama alidanganya.
  7. K

    Hv girls huweza penda mtu baada ya mwingine kuwatoa bk? Alimuacha jamaa after kumforce 2 min.

    Dah, unajua ni msichana fulani trust worthy sana niliamua kuamini her story ila pia niliuliza sana hadi nikaona namkwaza nikaacha. But bado najiuliza sana na natamani ingekuwa tofauti ila haiwezekani.
  8. K

    Hv girls huweza penda mtu baada ya mwingine kuwatoa bk? Alimuacha jamaa after kumforce 2 min.

    Na mi naona ndo hivo, bikira hatuwezi kataa ni special na mtu kumruhusu mtu aichukue lazima alikuwa special na atabaki kuwa remarkable na hapo yu ndo panapoumiza kwa my case.
  9. K

  10. K

    Nimekusoma sana, wanasema in life in the end unajutia things you didnt do that those you did... Ha ha...:)
  11. K

    Wanaume,,Bikra iko hivi

    Bikira inatoka pale mwanaume au mwanamke anavofanya penetrative sex na jinsia opposite au anyother form of sex. Sema virginity inategemea unataka kubase kidini, kisayansi au kitamaduni. But kwa mimi msichana akisha kuwa penetrated its gone.
  12. K

    Hv girls huweza penda mtu baada ya mwingine kuwatoa bk? Alimuacha jamaa after kumforce 2 min.

    Siwezi fanya hivo bana. Hata siku moja she is more precious than that aisee...
  13. K

    Hv girls huweza penda mtu baada ya mwingine kuwatoa bk? Alimuacha jamaa after kumforce 2 min.

    Thanks kwa uelewa. Jamaa alikuwa mpenzi wake ila akaforce. Anadai hajawahi kumpenda mtu kama mimi na alivogundua her past inaniumiza she assured me hata mawasiliano hawana na jamaa alijaribu kumsaka mara kadhaa but she was done. Imenisumbua sana sometimes naavoid hadi kukutana nae coz ninaanza...
Back
Top Bottom