Recent content by Kidogo mokasi

  1. Kidogo mokasi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu uongo asee,, sokapo hapa
  2. Kidogo mokasi

    Natafuta mchumba wa kike

    Habari zenu WanaJF, naandika ujumbe huu kwenu nikiwa najitambua, Mimi kijana nina miaka 24 natafuta mchumba bila kutania, Binti alioko tayari kuanzisha mahusiano ya kweli na mimi namkaribisha, awe mcha Mungu, umri Kati ya 19-23, ajue kusoma na kuandika, mweusi kidogo pia mtafutaji.[emoji1545]
  3. Kidogo mokasi

    Natafuta mchumba wa kike

    Nina umri wa miaka 24, natafuta mchumba wa kike alioko serious wa kuanzisha mahusiano, awa mrefu kiasi, maji ya kunde au mweusi, umri 19-22, elimu kuanzia form four, awe mkweli na mwaminifu, in this I pray. [emoji2974]. Baada ya kua na mtu ambae hakua sahihi kwangu nilie mdhani ndiye, Naomba...
Back
Top Bottom