Recent content by kidibo

  1. K

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda ni wezi kwa kweli kila siku wananiambia watarudisha hela yangu ila hairudi.
  2. K

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Yaani mpaka leo hela yangu nilitransfer kwa nmb mobile hamjaireverse huo ni wizi au kitu gani?mnakera kwa kweli
  3. K

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB kiukweli mnaboa ktk nmb mobile,huduma hazikamiliki hela inatoka ktk akaunti ya nmb,ukiwauliza wanakuambia mtandao,ila hela itarudi.shughuli ni hiyo hela kurudi ktk akaunti unaweza ukalia, halafu wanasisiiza watu wajihudumie, kwa style hiyo foleni itakuwepo miaka nenda rudi sababu watu...
  4. K

    Room Geita

    Uwezekano wa kupata anijuze
  5. K

    Room Geita

    Wadau natafuta room self contained geita,mwenye kujua msaada
Back
Top Bottom