Recent content by Kideboy

  1. K

    JamiiForums Kuumwa na Tandu kuna madhara gani?

    Hua ana sumu kama nyuki tu tofaut yao maumivu yatandu nimakali zaidi coz toka juz mpaka leo naskia maumiv ila juzi yalikua makali bye the way ni uvimbe2 kidgo ulinitokea
  2. K

    JamiiForums Kuumwa na Tandu kuna madhara gani?

    Ungepaswa uwafwalie hao watasha utupe feedback maake stor yako tamu lkn imeishia nusu..bye the way nashkuru Mungu maumiv yamepngua ingawa bado yapo lkn sio kwa yale nloyapata dakk 5 baad ya kung'atwa ilikua mida ya saa 9 usk mpka nkaenda google effects of centipede katika kingdom...
  3. K

    JamiiForums Kuumwa na Tandu kuna madhara gani?

    Kuna watu ukisoma ushauri wap unaweza kufa sio kwasabab ya kuumwa n tandu ila kwa,sabb ya presha..wana maneno makalii
  4. K

    JamiiForums Kuumwa na Tandu kuna madhara gani?

    Una maanisha nini
  5. K

    JamiiForums Kuumwa na Tandu kuna madhara gani?

    Kuna haja ya kwenda hospital au nimaumivu tu?coz ni makali!
  6. K

    JamiiForums Kuumwa na Tandu kuna madhara gani?

    Nini madhara yakuumwa na tandu ubavuni?
Back
Top Bottom