Recent content by Kidaleki_mauzo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

    Broh wew umemjua?? Hii niliyoiandika ni fursa. Kuna watoto wa mashekhe na wachungaji humu ambao hawana ajira na hawajui kwa kuanzia. Kupitia uzi huu wanaweza kupata kwa kuanzia
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

    Kila sehemu kuna upenyo huo. Hakuna taasisi nyeti isiyo na watoto w viongozi wa kisiasa, kidini au kijeshi. Lakini pia tusilaumu sana labda wanaangalia maswala ya genes.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

    Njia aliyonionesha ndio hiyo. Kwahiyo nimwambie baba akasome madrasa nae awe shekhe wa mkoa ili niajiriwe?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

    😁😁😁 nafikiria kwanini babangu hakukazania mambo ya madrasa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

    Wakuu, Rafiki yangu, ambaye baba yake ni Shekhe wa mkoa, ameajiriwa katika taasisi kubwa ya serikali bila kufanyiwa usaili.
Back
Top Bottom