Recent content by Kick2310

  1. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

    soma post ya tatu ndo utaelewa situation
  2. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

    Kumbe humu nako kama twitter ujuaji mwingi akili kisoda
  3. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

    nitapumzika nikifa kaka, sema aliapply ya jeshi kipindi anasubiria majibu ya utumishi sasa amechaguliwa utumishi ko anataka kujua kama ataruhusiwa jeshini
  4. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

    Habari ze wanaJF, Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa. Kwa story nilizoziskia ni kwamba hata ukichaguliwa baadae watakuchuja kwa sababu tayari unakuwa una CHQ number so...
Back
Top Bottom