Recent content by kichwakigumu

  1. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Yericko Nyerere husema, hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu
  2. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    ila mpaka sasa hujaweza ku prove huo uchochezi labda nikusaidie, nukuu kwenye kitabu cha mzee Mohamed Said, na utoe citation na useme "hapa mzee Mohamed Said umechochea" mwezi mzima and you could not figure that out. kama anavosema Ritz, wewe ni mtupu hujui lolote haya...
  3. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Ukiletewa ushahidi, hutosema kuwa ni ngano kama wenzako?
  4. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    hapa kaka tupo pamoja... umenena..vijana wa siku hizi husema
  5. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    waswahili sisi tangu lini mambo haya? wataanza kutumia kikristo (kiingereza) ambacho sisi hatujui mpaka tutumie google translate
  6. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    wakikupa any meaningful answer, naacha JF! kwa ufupi, "wote" wapo "sawa"!
  7. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Sitoshtuka akaja mtu akasema hizi ni ngano Au utawasikia lete source Ukiwapa source, watakwambia ngano Sasa sijui tutumie kigezo gani waelewe
  8. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Ndo ninasema, huwezi kutaja LIverpool imezaliwa vipi pasipo na kutaja Everton Huwezi kuanza na TANU pasipo kujua imeanzaje, i.e. TAA ...anza na mtiririko huu kaka
  9. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Hii kali hukuwahi kukutana na maswali "mlikutana vipi?" "ulimjuaje?" "umemtoa wapi mkeo/mumeo?" Kama hujawahi, tusonge mbele na mnakasha
  10. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Sasa kaka hapa utakua unakosea kaka Mfano, ukiulizwa Liverpool FC imeanzia wapi? Utalipunja jibu kama hutotaja Everton FC, waasisi wake mwaka Everton ulioasisiwa, key people mpaka Everton inasimama, mpaka dispute yao na Liverpool
  11. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Kaka, Kama mzee Mohamed Said kakosea kuwataja wazee wake waliopigania uhuru, basi ataomba msamaha. Lakini kama si kosa, anayo haki ya kuandika na kusema. Mna contradict kudhani kuwa Mohamed Said anasema kuwa wazee wake peke yake ndo wamepigania uhuru. Wazee wake had a part to play...
  12. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Sawa tujaalie alikua si wa size yake! (But huko nyuma, mlimtuhumu mzee Mohamed Said kuwa anawasemea walokufa) But, 15 years down the line, "tuhuma" za mzee Mohamed Said kwa Nyerere, hazijapatiwa majibu, critique ya kimaandishi (kwa maana ya kitabu, journal articles and the like), huoni...
  13. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Natumai kitabu kinatoka majority waliotajwa, including Nyerere, walikua hai. malizia mwenyewe sasa, haihitaji tochi from here
  14. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Kaka, sidhani kama hii ni lugha nzuri for a meaningful debate!
Back
Top Bottom