Recent content by kichoroba89

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Angalizo: Membe ni hatari kwa upinzani kuliko alivyokuwa Lowassa

    Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Baada ya Tanzania kutangazwa Rasmi na Bank ya Dunia kufikia Uchumi wa Kati Julai 1st,2020 miongoni mwa Nchi zilizofikia Uchumi huo,Dniani kote imekuwa gumzo kwa pongezi. Sifa zote zimekwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Rais JOHN POMBE MAGUFULI kwa hatua hiyo kubwa ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Hakika Hii ni Thread nyingine nzuri sana Mkuu,ipaishe umeongea uhalisia hakika asiyeelewa ana utindio wa Ubongo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Pushapu alikuwa anawapigia waazembe kuwa atakula sahani moja nao hawawezi kuihujumu Nchi kiasi hiki
  5. K

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    Wewe kaombe Mungu,Kibra ndio pazuri wakati wa kuabudu tunageukia Kibla kwahiyo ni uelekeo mzuri sana
  6. K

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    Kwani Tanzania ndio imeiambia Bank ya Dunian isiitangaze Kenya?wenyewe ndio wanaona wana Hesabu zao ambazo zikiwa sawa ndio Nchi inastahili kutangazwa,labda kuna sheria imeiangusha unajuaje?au kawaulize Wahusika wa Bank ya Dunia
  7. K

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    JPM anawanyoosha wala Rushwa wahujum Uchumi ambao walikuwa wanaifanya Tanzania iwe Dampo,sasa wanasaga meno,hatakama wapo wapigaji kwasababu tunajua hawaishagi ila wamepungua kwa kiwango kikubwa
  8. K

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    Huyo ni mpuuzi hasaaa hajielewi,kwanini isingetangazwa basi,aache ujinga huyo, JPM kaiokoa Tanzania Kiuchumi tulikuwa tunadidimia,walaji wakuwa wachache huku wengi wakifa njaa,angalia sasa kama kuna nyumba za starehe zinajaa watu,ukiona mtu anachezea fedha jua kazipata kimteremko kwahiyo hana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    Hongera JPM nisahihi kaipigania Tanzania sana, wamiliki wakubwa wa Biashara walikuwa wanakwepa kodi kwahiyo kujitoa KWAKE nizaidi ya Utu,wengine walikuwa wanahofia kuwagusa wakijua labda Wanaweza kugoma nakuleta mizozo,lakini JPM kathubutu watakatishaji fedha leo wapo Magerezani
  10. K

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    Ikishaingia tu kwenye Uchumi wa Kati haijalishi ni upi,ingekuwa ni rahisi kufikia hapo basi Nchi zote zingeingia tu Uchumi wa kati
  11. K

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    Hata iwe vipi lakini ndio imeshafikia Uchumi wa Kati iwe lower iwe high fortever
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kunyamaza ni silaha kubwa

    Hawa siku zote nikulalamika hata wapewe nini,ngija wahangaike sisi kimyaaa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kunyamaza ni silaha kubwa

    Safi sana Rais wetu Mungu akupiganie, kunyamaza ndio jibu la wajinga
Back
Top Bottom