Hodi jamani,
Kama kuna vijana wasafi wa maadili na wasio na makuu,basi huyu kijana Ridhiwani ni miongoni mwao.Kwa bahati nzuri nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa nyendo za watoto wa vigogo,lakini huyu ameonekana msafi.Labda wana JF mnipe tafsiri hasa ya mtu fisadi.
Ni mimi mgeni wenu kicheche...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.