Ndio uliyokuwa unayataka ayo ungenadi Sera kwenye kampeni zako yasingekukuta haya umelipata ulilokuwa unalitafuta.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Umesema wewe lakini sisi wanakawe msimamo wetu uko palepale Gwajima ndiye mbunge tunayemuitaji kwenye jimbo letu.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kunawatu wanastupid mind kwa kuwa very selfish yani kwasababu ya ushabiki wake wavyama na kutojua kilichojiri na ushabiki feki wanachoche kumchagua MTU ambaye miaka 15 hajaleta maendekeo achani kujali masilahi yenu wabinafsi.
Chukua na hiyo apo chini upate majibu na utulizane.
Nani kakwambia uyo bibi yenu ndiye aliyeishiwa sera amebaki kutukana tu na bado safari hii ataambulia patupu
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Chokora ni wewe kwa taarifa yako wanakawe atutaki ata kumsikia uyo halima awamu hii tunabadilisha upepo
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Uyu halima ndio kazi anayojua anashindwa kunadi sera anakalia kumtukana mgombea mwenza na ndicho kilichokuwa kinaendelea miaka kumi anashindwa kuleta maendeleo kwenye jimbo letu amekalia uchochezi amezidi sana uyu mbibi sisi wanakawe tumeshamchoka tunakwenda kufanya mabadiliko.
Sent from my...
Aisee wewe kweli Kilaza aukai kawe ndio maana unalopoka tu umu sisi tunaokaa kawe ndio tunajua kuwa halima atufai
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Oya wewe mbona hujitambui atuchagui dini tunachagua mtu atakayetuletea maendeleo na kuwakilisha kero zetu bungeni wanakawe hatudanganyiki na polojo zako tutamchagua Gwajima ije mvua lije jua sisi ni Gwajima tu ndiye tunamtaka
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.