Recent content by kibigolo10

  1. K

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje majina ya kusaini mkopo yanakuja chuo wengine hatupo?

    Aise mi mwenyewe nipo mwaka wa kwanza ruco jna cjaliona asa nilikua nafikiria iweje bodi watoe majina then kwenye kusain wanayaleta nusu tena mi hata cjui hatma yangu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri TCU Transfer

    Thanx wakuu for informing me
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri TCU Transfer

    Jaman wana jamii forum naomben msaada ni hivi mm nmeghairi na hizo transfer za tcu maana zmekuja late na huku chuon wamening'ang'ania. So itakua na madhara nikiacha? Naomben
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri please wanajamii

    Nmechaguliwa bachelor of computer science in software engineering. Je inatofaut gan na bachelor of computer science in information system? Je soko lake la ajira likoje? Na kama vp au nihamie hiyo ya information yaan mpaka naumwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Mmmh huo utan wa ngumi sasa
Back
Top Bottom