Recent content by Kibanchu

  1. K

    Ni program gani ya Master yenye soko zaidi kwa miaka ya sasa?

    Sawa ndugu nimeona ila tayali mimi nimeajiliwa
  2. K

    Ni program gani ya Master yenye soko zaidi kwa miaka ya sasa?

    Wakuu mambo vipi? Naomba ushauri wenu kuhusu jambo lifuatalo:- Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu (Bachelor of Environmental Disaster Management - UDOM) nilikua naitaji kwenda kusoma Master ningeomba mnipe uzoefu, ni program gani nzuri yenye tija na ipo chuo kipi ninayoweza kwenda kusoma, pia mimi...
Back
Top Bottom