Recent content by Kibali son

  1. Kibali son

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Tumsubir lusungo ata kuwa na majibu kamili kuwa na subira kdg atujuze
  2. Kibali son

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    broo awa ndio ambao awana nia wanasikia to fuln yupo mahari fuln ila anaona kila kitu ni uongo so muhm kuchukua maamuzi sahihi siku zote kwenye mafnikio kuna kupata na kukosa uwende ikawa yes mipango ikatick hata ikiwa no usichoke kujarbu wala kukataa tamaa uzii ushasaidia watu wengi kupata njia...
  3. Kibali son

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    mkuu pitia page za nyuma vzr kwenye uzi huu wameshaeleza kuhusu sehem unayotaka kwenda na fursa zake
  4. Kibali son

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    tusaidiane kupeana muongozo sahihi mkuu ukisema niwe makn ni kweri lzm tuwe mkn lkn mhm tupate muongozo
  5. Kibali son

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    mkuu naelewa sana mchango wako kwenye huh uzi nimeku pm plz ukipata wasaa pitia pitia
  6. Kibali son

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Wanye experience na ichi ya uturuki na dennmark na upatikanaji wake wa visa na fursa za kazi
  7. Kibali son

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    kaka msaada vpe kuhusu fursa za kimichezo inchi ya uturuki
  8. Kibali son

    Nawezaje kuharakisha upatikanaji wa Visa ya Canada au USA, help help!!

    Nilikua naomba muongozo wa kufika nchini uturuki me ni mchezaji wa mpira wa miguu inchin uturuk nina best yangu wa kike kaolewa uturuki me nilimuomba anisaidie kufika uturk na sehm ya kufika ili anisaidie kupata academy ya mpira wa miguu kama garatasalay n.k sasa naomba muongozo mzur nifanikishe...
Back
Top Bottom